adsense

Ili watu wetu waweze kuondokana na umasikini inabidi turudishe masaa ya kufanya kazi nyuma!.

Tanzania watu wanalala na mashine zinalala. Watu wapokezane lakini mashine ziendelee kupiga kazi. Yaani giza likiingia transactions nyingi sana zinasimama hapa nchini. Hatuwezi kuondoka kwenye umaskini kwa hali hiyo. Tuige mfano wa airport ipo busy wakati wote kuna ndege ya saa 8 usiku, saa 5 asubuhi, saa 10 jioni yaani masaa 24. Hivi kuna haja gani ya mafundi ujenzi/seremala/magari wa kawaida kwenda kulala jioni? Kuna haja gani ya mabasi ya mikoani kulala jioni? Basi lisipumzike zaidi ya masaa 7 ligeuze. Hivyo ndivyo umaskini tutakimbia fasta lakini hizi tabia za kuzima kila kitu tunaenda kulala itatuchukua muda mrefu sana
                                         
Kabla ya mageuzi ya kiuchumi Deng Xiaoping alianzisha kitengo kazi kama hatua ya kwanza ya uongozi na kuwepo madaraja mengi kuunganisha kila mtu katika Komunisti Party na miundombinu. vitengo Kazi na njia kuu ya sera za chama kutekelezwa. Pia wafanyakazi walikuwa wamefungwa katika kazi zao kila kitengo kwa maisha yake. Kila (danwei) ilitakiwa kuunda nyumba zao wenyewe, huduma ya watoto, shule, kliniki, maduka, huduma, ofisi za posta, nk.
Previous
Next Post »